• Call Us+255784 519 486
  • Login

HUDUMA ZA HOSTEL BSMART SASA ZINAPATIKANA!

HUDUMA ZA HOSTEL ZINAPATIKANA!

 

BSMART BRANDS ACADEMY ni Taasisi inayowawezesha Vijana Kufika Mwisho wa Malengo yao Kielimu na Kimaisha. Sasa Huduma za HOSTEL kwa Wanafunzi ili Kuwawezesha Kufanikisha Program zao za Kimasomo. Hostel zinapatikana Musoma Mjini ziko na Mwanza kwa jinsi ya Ke na pia kwa jinsi ya Me. Ada ni Tshs 2000/= kwa Siku ukiwa utakaa chini ya mwezi mmoja na Tshs 1000 kwa wanafunzi wanaokaa kipindi kinachozidi mwezi mmoja.Kwa Mawasiliano zaidi: 0784519486

 

 

Mwanzo wa Kufanikiwa ni Kujipanga! 

 

Michael Richard

Meneja Huduma za Elimu 

Bsmart Brands Academy