Adding value to life through innovation.
Bsmart Brands we believe that success is a process, and that through planning and innovations there is a solution to every challenge.
BSMART HOT PROGRAMS (PROGRAM ZA BSMART)
Program hii ni mahususi kwa ajili ya mtu yeyote anayehitaji kujenga umahiri katika kubuni na kuendesha miradi ya kibiashara. Mhitimu wa Program hii atajipatia maarifa, ujuzi na mbinu mujarabu kusimamia na kuendesha biashara ya aina yoyote akitumia fursa zinazotaradi kila mara. Jisajili sasa ili kujiunga na kuanza mafunzo ya kutumia kanuni za BSMART Kuendesha biashara kwa faida, Kujenga mtandao wa wateja, Kukuza mauzo na Kukuza Biashara yako huku ukijihakikishia Malezi na mtaji/mkopo kukuza biashara yako kwa dhamana ya BSMART BRANDS ACADEMY
Kwa taarifa zaidi wasiliana nasi: 0784 519486
JISAJILI HAPA KUJIUNGA
Program hii ni mahususi kwa ajili ya Wanafunzi, wahitimu wa Shule za Msingi, Sekondari, Vyuo, wafanyabiashara na Wajasiriamali wanaohitaji kujenga umahiri kwenye ubunifu na kwenye computer kwa matumizi ya kielimu na kibiashara
Kwa taarifa zaidi tupigie 0784519486
Jiunge na Program hii kujifunza na kuongeza Weledi wako katika lugha ya Kiingereza kwa matumizi ya elimu, biashara na mawasiliano ya kimtandao. Program hii inawafaa Wanafunzi ngazi zote na Wafanyabiashara wanaohitaji kuongeza weledi wao katika lugha ya Kiingereza kwa ajili ya masomo au biashara au mawasiliano ya kimtandao. Kwa taarifa zaidi tupigie 0784519486
JISAJILI HAPA KUJIUNGA au Tupige 0784 519486 kwa taarifa zaidi
We run program thorugh our BSMART JIPANGE CLUBS network in Primary and Secondary School to develop Talents for the youths and Kids under 18 years. We give everyone opportunity to discover his or her talent and we nurture and support them to grow and make use those talents for their social as well as economical benefits.
BSMART BRANDS ACADEMY tunaamini kila kijana ana kipaji ambacho kikiendelezwa kujengwa kitampa fursa kufanikisha ndoto zake na kutoa mchango wake. Program ya Kukuza Vipaji ni mahususi kwa ajili ya Watoto na Vijana chini ya miaka 18 ambazo tunawafikia popote nchini kwa kutumia mtandao wetu wa Klabu za BSMART JIPANGE zilizopo shule za Msingi na Sekondari. Kwa taarifa zaidi tupigie 0784519486
BOFYA HAPA KUMSAJILI MWANAFUNZI KWENYE PROGRAM YA VIPAJI
The program is designed to pupils and students in Primary, Secondary and High School develop academic competence by testing their understanding in various subjects. The program is mainly run online and any one who is interested but cannot access internet facilities should communicate with us (Phone No. 0784 519486)
Hapa Wanafunzi wa shule za Msingi, Sekondari na High School wanapata fursa ya kusoma, kufanya mazoezi na mitihani mbalimbali ili kuongeza uwezo wao wa kitaaluma katika masomo yao. Program inaendeshwa kwa njia ya mtandao, mzazi atakayepata ugumu kumsajili mwanafunzi tuwasiliane
Kwa taarifa zaidi tupigie 0784519486
BSMART BRANDS ACADEMY inasimamia Club za BSMART JIPANGE zinazolea Wanafunzi Wabunifu, Wanafunzi wenye Vipaji ili kuwajengea umahiri katika masuala ya Sayansi, Ubunifu, Teknolojia na Kukuza Vipaji na pia tunasimamia Klabu za Wajasiriamali (BSMART INNOVATION CLUBS) zinazolea mawazo bunifu na kutatua changamoto za Wajasiriamali Wadogo. Klabu za BSMART zinawasaidia Wabunifu kujenga umahiri na kuwawezeshwa kufanikisha Malengo makubwa kitaaluma, kibiashara na kimaisha. Kwa taarifa zaidi tupigie 0784519486
KUJIUNGA NA BSMART CLUB BOFYA HAPA CHINI