• Call Us+255784 519 486
  • Login

BSMART MANAGERS PROGRAM- JUNI 2022 INTAKE

JE Wewe ni Mhitimu wa Chuo cha NACTE, VETA, High School au Sekondari?

Je Unayo NDOTO ya Kuwa Meneja?

BSMART BRANDS ACADEMY tunakupa FURSA ya Kutimiza Ndoto zako. JIUNGE na PROGRAM yetu ya BSMART MANAGERS inayoanza Rasmi tarehe 1-Juni-2022. Kupitia Program hii utafundishwa na Utajengwa kuwa Meneja kusimamia biashara ndogo na za kati zenye mtaji kati ya Tshs 5mil hadi 200mil. Muda wa Mafunzo ni Miezi mitatu hadi Sita. Ukihitimu Unapangiwa Kazi moja kwa moja Mshahara wa kuanzia Tshs 250,000 hadi 450,000 kulingana na uwezo wako. Mhitimu wa Program ya BSMART MANAGER atajiendeleza kimafunzo akiwa kazini kwa kipindi cha miaka miwili ikiwa ni pamoja na mafunzo ya miezi mitatu nje ya nchi kujenga  uelewa wa masoko ya kimataifa (international market exposure) na Hatimaye atatunukiwa CHETI CHA UMAHIRI kinachomwezesha kupata Mkopo mpaka kiasi cha Tshs 15milioni kwa dhamana ya Bsmart Brands Academy ili Kufanikisha Malengo yake kama Meneja. KUJISAJILI BOFYA HAPA https://bsmartbrands.co.tz/auth/register. INTAKE ya Mwezi Juni Tuna Kampasi mbili MUSOMA na MWANZA, Huduma za Hosteli zinapatikana kwa wanaohitaji

Sambamba na Fursa hii Tunawakaribisha Wajasiriamali Wadogo na Kati pia Watumishi Wanaohitaji Mameneja Waaminifu na Wenye Uwezo kusimamia Biashara zao kwa Uhakika. BOFYA HAPA https://bsmartbrands.co.tz/auth/register KUSAJILI maombi yako BSMART bila Kuchelewa. Kupitia Program hii tunakuhakikishia Usalama wa Fedha zako, Ubunifu, Faida na Ukuaji wa Biashara Yako. Kwa taarifa zaidi tupigie 0784519486

Boniface Ndengo

Mratibu Mradi wa BSMART TANZANIA