• Call Us+255784 519 486
  • Login

Vision

 

To inspire and support youths to build and achieve their dreams.            

Mission

Adding value to life through innovation.

Our Philosophy

Bsmart Brands we believe that success is a process, and that through planning and innovations there is a solution to every challenge.

 

 

BSMART HOT PROGRAMS (PROGRAM ZA BSMART)

       The program is suitable for high school and college graduates who are passionate and eager in business innovations, starting and running business ventures successfuly. The program will equip the candidate with innovative, technical, operational and management skills to run any business venture successfully, take advantages of availing business opportunities, make good salary and make good profit for the investor. The candidate will learn and master Bsmart models applicable in business innovation, entrepreneurship, sales management and customers management.

Register now to join our team of Managers and learn new skills to run successful businesses, attracting new customers, promote sales, increase customer engagement and grow your business while enjoying unlimited mentorship and support from Bsmart Brands Academy.

  Program hii ni mahususi kwa ajili ya mtu yeyote anayehitaji kujenga umahiri katika kubuni na kuendesha miradi ya kibiashara. Mhitimu wa Program hii atajipatia maarifa, ujuzi na mbinu mujarabu kusimamia na kuendesha biashara ya aina yoyote akitumia fursa zinazotaradi kila mara. Jisajili sasa ili kujiunga na kuanza mafunzo ya kutumia kanuni za BSMART Kuendesha biashara kwa faida, Kujenga mtandao wa wateja, Kukuza mauzo  na Kukuza Biashara yako huku ukijihakikishia Malezi na  mtaji/mkopo kukuza biashara yako kwa dhamana ya BSMART BRANDS ACADEMY

Kwa taarifa zaidi wasiliana nasi: 0784 519486

JISAJILI HAPA KUJIUNGA

https://bsmartbrands.co.tz/auth/register

 

BSMART COMPUTER AND INNOVATION CLASS (DARASA LA BSMART LA COMPUTER NA UBUNIFU)
  This Program is suitable for students in Primary, Secondary, High School, Colleges, young graduates and adults as well as business managers and staff in sales department who need to have innovative and computer skills for ecademic and business applications

Program hii ni mahususi kwa ajili ya Wanafunzi, wahitimu wa Shule za Msingi, Sekondari, Vyuo, wafanyabiashara na Wajasiriamali wanaohitaji kujenga umahiri kwenye ubunifu na kwenye computer kwa matumizi ya kielimu na kibiashara

Kwa taarifa zaidi tupigie 0784519486

KUJIUNGA JISAJILI HAPA

https://bsmartbrands.co.tz/auth/register

 

BSMART ENGLISH CLASS (DARASA LA BSMART LA KIINGEREZA)
      This program is suitable for elementary, secondary school students, adults, staff and business Managers who want to master and afford English language  for their educational career, business engagements  and everyone who want to enjoy applications of internet resources

Jiunge na Program hii kujifunza na kuongeza Weledi wako katika lugha ya Kiingereza kwa matumizi ya elimu, biashara na mawasiliano ya kimtandao. Program hii inawafaa Wanafunzi ngazi zote na Wafanyabiashara wanaohitaji kuongeza weledi wao katika lugha ya Kiingereza kwa ajili ya masomo au biashara au mawasiliano ya kimtandao. Kwa taarifa zaidi tupigie 0784519486

JISAJILI HAPA KUJIUNGA au Tupige 0784 519486 kwa taarifa zaidi

https://bsmartbrands.co.tz/auth/register

 

 We run program thorugh our BSMART JIPANGE CLUBS network in Primary and Secondary School to develop Talents for the youths and Kids  under 18 years. We give everyone opportunity to discover his or her talent and we nurture and support them to grow and make use those talents for their social as well as economical benefits.

BSMART BRANDS ACADEMY tunaamini kila kijana ana kipaji ambacho kikiendelezwa kujengwa kitampa fursa kufanikisha ndoto zake na kutoa mchango wake. Program ya Kukuza Vipaji ni mahususi kwa ajili ya Watoto na Vijana chini ya miaka 18 ambazo tunawafikia popote nchini kwa kutumia mtandao wetu wa Klabu za BSMART JIPANGE zilizopo shule za Msingi na Sekondari. Kwa taarifa zaidi tupigie 0784519486

BOFYA HAPA KUMSAJILI MWANAFUNZI KWENYE PROGRAM YA VIPAJI

https://bsmartbrands.co.tz/auth/register

 

BSMART ACADEMIC CHALLENGE

   The program is designed to pupils and students in Primary, Secondary and High School develop academic competence by testing their understanding in various subjects. The program is mainly run online and any one who is interested but cannot access internet facilities should communicate with us (Phone No. 0784 519486)

Hapa Wanafunzi wa shule za Msingi, Sekondari na High School wanapata fursa ya kusoma, kufanya mazoezi na mitihani mbalimbali ili kuongeza uwezo wao wa kitaaluma katika masomo yao. Program inaendeshwa kwa njia ya mtandao, mzazi atakayepata ugumu kumsajili mwanafunzi tuwasiliane

Kwa taarifa zaidi tupigie 0784519486

KUJISAJILI BOFYA HAPA

 

BSMART JIPANGE CLUBS AND BSMART INNOVATION CLUBS

   BSMART BRANDS ACADEMY inasimamia Club za BSMART JIPANGE zinazolea Wanafunzi Wabunifu, Wanafunzi wenye Vipaji ili kuwajengea umahiri katika masuala ya Sayansi, Ubunifu, Teknolojia na Kukuza Vipaji na pia tunasimamia Klabu za Wajasiriamali (BSMART INNOVATION CLUBS) zinazolea mawazo bunifu na kutatua changamoto za Wajasiriamali Wadogo. Klabu za BSMART zinawasaidia Wabunifu kujenga umahiri na kuwawezeshwa kufanikisha Malengo makubwa kitaaluma, kibiashara na kimaisha. Kwa taarifa zaidi tupigie 0784519486

KUJIUNGA NA BSMART CLUB BOFYA HAPA CHINI

https://bsmartbrands.co.tz/auth/register

.