• Call Us+255784 519 486
  • Login

BSMART KUTOA HUDUMA YA HOSTEL

TAARIFA MUHIMU!

KUTOKA BSMART BRANDS ACADEMY!

 

BSMART BRANDS ACADEMY ni Taasisi inayowawezesha Vijana Kufika Mwisho wa Malengo yao Kielimu na Kimaisha. Sasa Tunatoa Huduma za HOSTEL kwa Wanafunzi ili Kuwawezesha Kufanikisha Program zao za Kimasomo. Hostel zinapatikana Musoma Mjini ziko kwa jinsi ya Ke na pia kwa jinsi ya Me. Ada ni Tshs 1000/= kwa Siku

Kwa Mawasiliano zaidi:

 0745 702 872/ 0784519486

 

Mwanzo wa Kufanikiwa ni Kujipanga! 

 

Michael Richard

Meneja Huduma za Elimu 

Bsmart Brands Academy