• Call Us+255784 519 486
  • Login

Bsmart Club

KARIBU UJIUNGE NA BSMART CLUB

Watoto na wanafunzi ngazi ya Nursery, shule za Msingi na Sekondari kwa usimamizi wa wazazi/walezi wao na wanafunzi  wa High school, Vyuo na Vyuo Vikuu, vijana na Wazazi wanaopenda kufanikisha malengo yao Kielimu na Kiuchumi wanayofursa ya kujiunga na Bsmart Club. BSMART CLUB hutoa tuzo za udhamini kwa wanachama wake waliotimiza miaka mitatu na kuendelea ndani ya Klabu. Kupitia Klabu ya BSMART wanachama wanapata mafunzo na elimu juu ya utunzaji wa afya zao, stadi za maisha, stadi za kazi, biashara, uongozi na kukuza vipaji ili kuwajenga kuwa na malengo makubwa kitaaluma na kimaisha na kuwa Wabunifu ili kutumia vipaji vyao, elimu, fursa za TEHAMA na fursa zingine zinazowazunguka kufanikisha ndoto na malengo yao. Kupitia Klabu Wanachama wanapata fursa za udhamini kupata ajira, udhamini wa masomo au mafunzo, mitaji kuanza na kuendeleza biashara na masoko kuuza bidhaa zako na tuzo za pesa taslimu.

Ngazi za Uanachama Ada za Kujiunga na Tuzo zake

NO

DARAJA

KUJIUNGA

ADA YA MWAKA

TUZO

(3 YRS)

TUZO

(4 YRS)

TUZO

(5 YRS)

1

BSMART KIDS

10,000

12,000

100,000

220,000

370,000

2

BSMART JIPANGE

20,000

12,000

200,000

440,000

740,000

3

BSMART SCHOLAR

40,000

12,000

400,000

880,000

1,490,000

4

BSMART GRADUATE

100,000

12,000

1,000,000

2,220,000

3,740,000

5

BSMART MASTERCLASS

250,000

12,000

1,500,000

3,550,000

5,550,000

Wanafunzi waliosoma Program za BSMART wanapata Bonus zinazowawezesha Kupanda Daraja

JISAJILI SASA KUNUFAIKA NA FURSA ZA BSMART CLUB